MSHAMBULIAJI MPYA MZIMBABAWE AING'ARISHA AZAM FC IKIICHAPA 1-0 KMC MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI
Mshambuliaji mpya wa Azam FC, Mzimbabwe Prince Dube akishangilia baada ya kuifungia timu hiyo bao pekee dakika ya 89 ikiichapa 1-0 KMC katika mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment