MTIBWA SUGAR YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA KAGERA SUGAR KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI MANUNGU
Kiungo wa Mtibwa Sugar, Haroun Chanongo akimtoka beki wa Kagera Sugar katika mchezo wa kirafiki jioni ya leo Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro timu hizo zikitoka sare ya 1-1
0 comments:
Post a Comment