SERIKALI YAZIRUHUSU KLABU ZA SOKA NCHINI KUTUMIA WAGENI WASIO NA VIBALI WAKATI HUU LIGI KUU HAIJAANZA
SERIKALI imezitoa hofu klabu za soka Tanzania kuhusu wachezaji na makocha wa kigeni iliyowaajiri kwamba zinaweza kuwatuma wakati huu Ligi Kuu ya Tanzania Bara haijaanza, lakini tu wafuate taratibu za kuwaombea vibali.
Item Reviewed: SERIKALI YAZIRUHUSU KLABU ZA SOKA NCHINI KUTUMIA WAGENI WASIO NA VIBALI WAKATI HUU LIGI KUU HAIJAANZA
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment