Kiungo Mmisri, Mohamed Elneny akiifungia Arsenal bao la kwanza dakika ya tano katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Milton Keynes Dons FC kwenye mchezo wa kirafiki Uwanja wa MK (Milton Keynes), Buckinghamshire. Mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Eddie Nketiah dakika ya 10, Mark McGuinness dakika ya 76 na Reiss Nelson kwa penalti dakika ya 85, wakati bao pekee la MK Dons lilifungwa na Rob Holding aliyejifunga dakika ya 32 na sasa kikosi cha Mikel Arteta kitaivaa Liverpool Jumamosi katika mechi ya Ngao ya Jamii PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Olympics shock as star makes stunning defection to Australia - and he could
challenge Gout Gout
-
New Zealand's fastest man Eddie Osei-Nketia has officially changed
allegiances in a move that could have major ramifications for Australian
sprinting ahead...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment