• HABARI MPYA

  Friday, August 21, 2020

  PAWASA ATEULIWA KAMATI YA UFUNDI NA MAENDELEO YA VIJANA UMOJA WA AFRIKA SOKA YA UFUKWENI

  KOCHA wa timu ya soka ya taifa ya Ufukweni (Beach Soccer) Boniface Pawasa ameteuliwa na Umoja wa Afrika Soka la Ufukweni kwenye Kamati ya Ufundi na Maendeleo ya Vijana.
  Katika Kamati hizo pia yumo Jonathan Kasano aliyeteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti Kamati ya Mashindano na Gift Macha Kamati ya Habari na Mawasiliano
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PAWASA ATEULIWA KAMATI YA UFUNDI NA MAENDELEO YA VIJANA UMOJA WA AFRIKA SOKA YA UFUKWENI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top