DIAMOND PLATINUMZ ATOA WIMBO MAALUM WA SIMBA SC NA ATATUMBUIZA KWENYE SIMBA DAY KESHOKUTWA
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Mohammed Dewji akimkabidhi msanii Diamond Platinumz jezi ya mabingwa wa nchi kwa ajili ya kutumbuiza kwenye tamasha la Simba Day Jumamosi Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam. Diamond ametoa wimbo maalum wa Simba ulioanza kuchezwa leo
0 comments:
Post a Comment