AMANI KYATA ASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA KUJIUNGA NA NAMUNGO FC KUTOKA KARIOBANGI SHARKS YA KENYA
BEKI wa kati, Amani Peter Kyata akiwa ameshika jezi ya Namungo FC ya Ruangwa mkoani Lindi baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja kujiunga na wawakilishi hao wa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kutoka Kariobangi Sharks ya Kenya
Item Reviewed: AMANI KYATA ASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA KUJIUNGA NA NAMUNGO FC KUTOKA KARIOBANGI SHARKS YA KENYA
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment