Mkurugenzi wa Mtibwa Sugar ya Morogoro, Jamal Bayser (kushoto) akimkabidhi kiungo Baraka Gamba Majogoro (katikati) nakala za mkataba baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na timu hiyo kutoka Polisi Tanzania ya Kilimanjaro. Kulia ni Meneja wa mchezaji huyo, Peter Simon na huyo anakuwa mchezaji wa pili mpya kusajiliwa Mtibwa Sugar baada ya kiungo mwingine, Abal Kassim Khamis kutoka Azam FC kwa mkopo
Tottenham vs Burnley - Premier League: Live score, lineups and updates
-
Jose Mourinho's side, amid a dismal run of form, find themselves nine
points off fourth spot ahead of the clash with Burnley. Follow all the
action from Su...
9 minutes ago
0 comments:
Post a Comment