• HABARI MPYA

    Tuesday, August 18, 2020

    KAGERA SUGAR YAITA WACHEZAJI π—©π—œπ—π—”π—‘π—” KWA MAJARIBIO YA KUJIUNGA NA VIKOSI VYAO VYA U-𝟭𝟳 NA U-20

    MUDA: SAA 3 KAMILI ASUBUHI
    MAHALI: UHURU STADIUM,DAR ES SAALAAM

    Uongozi wa Kagera Sugar Football Club unayo furaha kuwatangazia vijana wa kitanzania wenye umri chini ya Miaka 20 #UNDER20 kuwa Siku Ya kesho JUMATANO 19/2020 Majira ya SAA 3:00 ASUBUHI kutakuwa na zoezi la USAILI WA VITENDO #TRIAL kwa vijana wanaocheza mpira wa Miguu (Football).
    Tunatoa wito kwa wazazi Pamoja na walezi wote ambao Wana vijana wao wenye vipaji na uwezo wa kucheza mpira wawape ruhusa vijana wao waje uwanja wa UHURU kufanya majaribio ya VITENDO ili waweze kukuza vipaji vyao na kutimiza ndoto zao za baadae katika Soka la Tanzania na Nje ya Tanzania.
    VINANA WOTE MNAKARIBISHWA SIKU YA KESHO ILI MPATE FURSA YA KUONESHA VIPAJI VYENU.
    #TIMUYETUSUKARIYETU
    MAKOCHA WATAKAO KUEPO.
    1. MECKY MEXIME
    2. TEMI FELIX (U20)
    3. ALLY JANGALU
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KAGERA SUGAR YAITA WACHEZAJI π—©π—œπ—π—”π—‘π—” KWA MAJARIBIO YA KUJIUNGA NA VIKOSI VYAO VYA U-𝟭𝟳 NA U-20 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top