Kiungo Mbrazil, Carlos Henrique Casemiro akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Real Madrid bao pekee dakika ya 45 akimalizia pasi ya mshambuliaji Mfaransa, Karim Benzema katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Espanyol kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa RCDE. Kwa ushindi huo, Real Madrid inafikisha pointi 71 baada ya kucheza mechi 32, sasa Los Blancos wakiwazidi pointi mbili mabingwa watetezi, Barcelona PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Report: Harry Kane to Push for Transfer If Tottenham Miss out on Champions League
-
Tottenham Hotspur striker Harry Kane will reportedly seek a move during the
summer transfer window if Spurs don't qualify for next season's UEFA
Champions...
1 minute ago
0 comments:
Post a Comment