• HABARI MPYA

  Friday, June 26, 2020

  MASHABIKI LIVERPOOL WAMWAGIKA MITAANI KUSHEREHEKEA UBINGWA

  Mashabiki wa Liverpool wakishangilia nje ya Uwanja wa Anfield baada ya taarifa za kutwaa taji la kwanza la ubingwa wa Ligi Kuu ya England ndani ya miaka 30 kufuatia Manchester City kufungwa 2-1 na Chelsea usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge London 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MASHABIKI LIVERPOOL WAMWAGIKA MITAANI KUSHEREHEKEA UBINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top