Kocha Mbelgiji wa Yanga SC, Luc Eymael (katikati) akiwa na mkewe mpya, wa tatu (kushoto) baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) leo mchana kuungana na timu yake kwa ajili ya kumalizia msimu na kesho atasafiri kwa ndege kukifuata kikosi Shinyanga tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Jumamosi Uwanja wa Kambarage
Tottenham vs Burnley - Premier League: Live score, lineups and updates
-
Jose Mourinho's side, amid a dismal run of form, find themselves nine
points off fourth spot ahead of the clash with Burnley. Follow all the
action from Su...
34 minutes ago
0 comments:
Post a Comment