Lionel Messi akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Barcelona bao la nne dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, Mallorca kwenye mchezo wa LaLiga usiku wa jana Uwanja wa Iberostar. Mabao mengine ya Barcelona yamefungwa na Arturo Vidal dakika ya pili, M. Braithwaite dakika ya 37 na Jordi Alba dakika ya 79 na sasa Barca inafikisha pointi 61 katika mchezo wa 28 ikiendelea kuongoza La Liga kwa pointi tano zaidi ya Real Madrid ambayo leo inamenyana na Eibar PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Iran's famed singer Googoosh recalls family, exile and life in the spotlight
-
DUBAI, United Arab Emirates (AP) — For Googoosh, Iran's most-famous singer,
life always has been balancing act of one kind or another.
27 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment