Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kufunga kwa penalti dakika ya 23 Juventus ikiibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Bologna usiku wa jana Uwanja wa Renato Dall'Ara, bao la pili likifungwa na Paulo Dybala dakika ya 36. Kwa ushindi huo, Juventus inafikisha pointi 66 baada ya kucheza mechi 27 na kuendelea kuongoza Serie A kwa pointi nne zadi ya Lazio yenye mechi moja mkononi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Eric Comrie makes 34 saves, Winnipeg Jets top Buffalo Sabres 4-1
-
WINNIPEG — Eric Comrie made 34 saves and Kyle Connor scored his
team-leading 15th goal of the season as the Winnipeg Jets downed the
Buffalo Sabres 4-1 on ...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment