• HABARI MPYA

  Wednesday, June 24, 2020

  BARCELONA YAREJEA KILELENI LA LIGA BAADA YA KUIPIGA BILBAO 1-0

  Ivan Rakitic akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Barcelona bao pekee dakika ya 71 akimalizia pasi ya Lionel Messi katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Athletic Bilbao kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Camp. Ushindi huo unairejesha Barcelona kileleni ikifikisha pointi 68 baada ya kucheza mechi 31 sasa ikiizidi Real Madrid pointi tatu, ambayo hata hivyo ina mchezo mmoja mkononi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA YAREJEA KILELENI LA LIGA BAADA YA KUIPIGA BILBAO 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top