Harry Maguire akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la ushindi dakika ya 118 ikiwalaza wenyeji, Norwich 2-1 katika Robo Fainali ya Kombe la FA England usiku huu Uwanja wa Carrow Road. Odion Ighalo alianza kuifungia Man United dakika ya 51, kabla ya Todd Cantwell kuwasawazishia wenyeji dakika ya 75 na dakika ya 89 wakampoteza Timm Klose aliyetolewa kwa kadi nyekundu kwa kumchezea rafu Odion Ighalo. Man United wanakwenda Nusu Fainali ya Kombe la FA PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
51 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment