Kocha wa Yanga SC, Mbelgiji Luc Eymael (kushoto) akiwa na mshambuliaji Mkongo, David Molinga 'Falcao' (kulia) Uwanja wa Ndege wa Mwanza baada ya kuwasili wakitokea Dar es Salaam tayari kuunganisha usafiri wa barabara kwenda Shinyanga kuungana na timu kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Mwadui FC
Friday, June 12, 2020
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment