Robert Lewandowski akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia bao pekee Bayern Munich dakika ya 43 ikiilaza Werder Bremen usiku wa jana Uwanja wa Wohninvest Weserstadion na kujihakikishia taji la nane mfululizo la Bundesliga baada ya kufikisha pointi 76 kufuatia mechi 32 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
NCAA Issues Statement in Support of Transgender Athletes amid Discriminatory Bills
-
The NCAA issued a statement...
28 minutes ago
0 comments:
Post a Comment