• HABARI MPYA

  Sunday, February 23, 2020

  TYSON FURY AMTWANGA WILDER KWA TKO RAUNDI YA SABA

  Bondia Mmarekani, Deontay Wilder (kulia) akiwa ameketi chini baada ya kuangushwa Muingereza, Tyson Fury (kushoto) katika pambano la ngumi za kulipwa la uzito wa juu asubuhi ya leo ukumbi wa MGM Grand Jijini Las Vegas, Marekani.  Gypsy King alimuangusha mara mbili Bronze Bomber kabla ya wasaidizi wake kurusha taulo ulingoni raundi ya saba kumnusuru na kipigo zaidi hivyo Fury kutwaa taji la WBC kwa ushindi wa Technical Knockout (TKO) 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TYSON FURY AMTWANGA WILDER KWA TKO RAUNDI YA SABA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top