Hans Hateboer akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Atalanta mabao mawili dakika ya 16 na 62 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Valencia kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa usiku wa jana Uwanja wa Giuseppe Meazza mjini Milan. Mabao mengine ya Atalanta yalifungwa na Josip Ilicic dakika ya 42 na Remo Freuler dakika ya 57, wakati la Valencia lilifungwa na Denis Cheryshev dakika ya 66 na timu hizo zitarudiana Machi 10 Uwanja wa Mestalla PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
54 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment