Bao la pili la Coastal Union limefungwa na Mudathir Said dakika ya 64, wakati bao pekee la Azam FC limefungwa na mshambuliaji wake Mzambia, Obrey Chirwa dakika ya 90 na ushei
COASTAL UNION YAICHAPA AZAM FC 2-1 UHURU NA KUREJEA NAFASI YA TATU KWENYE MSIMAMO WA LIGI KUU
Bao la pili la Coastal Union limefungwa na Mudathir Said dakika ya 64, wakati bao pekee la Azam FC limefungwa na mshambuliaji wake Mzambia, Obrey Chirwa dakika ya 90 na ushei
0 comments:
Post a Comment