• HABARI MPYA

  Thursday, February 27, 2020

  RONALDO AKOSA 'BAO LA WAZI' JUVE YACHAPWA 1-0 NA LYON UFARANSA

  Mshambuliaji wa Juventus, Cristiano Ronaldo akisikitika baada ya kupoteza nafasi nzuri ya kufunga dakika ya 80 kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya wakichapwa 1-0 na wenyeji, Lyon usiku wa jana Uwanja wa Groupama, Decines-Charpieu bao pekee la Lucas Tousart dakika ya 31. Timu hizo zitarudiana Machi 17 Jijini Torino 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AKOSA 'BAO LA WAZI' JUVE YACHAPWA 1-0 NA LYON UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top