Mshambuliaji Alexandre Lacazette (kulia) akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Arsenal bao pekee dakika ya 81 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Olympiakos Piraeus usiku wa jana Uwanja wa Georgios Karaiskaki, Pireas nchini Ugiriki kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 32 Bora UEFA Europa League. Timu hizo zitarudiana Februari 27 London PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
52 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment