• HABARI MPYA

  Saturday, February 15, 2020

  MANE AFUNGA BAO LAKE LA 100 ENGLAND LIVERPOOL YASHINDA 1-0

  Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Liverpool dakika ya 78 hilo likiwa bao lake la 100 England katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Norwich kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Carrow Road. Ushindi huo unaifanya Liverpool ifikishe pointi 76 katika mchezo wa 26 ikiendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi 25 zaidi ya mabingwa watetezi, Manchester City 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANE AFUNGA BAO LAKE LA 100 ENGLAND LIVERPOOL YASHINDA 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top