• HABARI MPYA

  Wednesday, February 26, 2020

  SERGE GNABRY APIGA MBILI BAYERN MUNICH YAICHAPA CHELSEA 3-0

  Serge Gnabry akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich mabao mawili dakika za 51 na 54 kabla ya Robert Lewandowski kufunga la tatu dakika ya 76 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Chelsea usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London, kwenye mchezo wa kwanza Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya. Timu hizo zitarudiana Machi 18 Jijini Munich 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SERGE GNABRY APIGA MBILI BAYERN MUNICH YAICHAPA CHELSEA 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top