Cristiano Ronaldo akiondoka na mpira baada ya kuifungia bao la kusawazisha Juventus kwa penalti dakika ya 90 na ushei katika sare ya 1-1 na wenyeji, AC Milan kwenye mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Kombe la Italia usiku wa jana Uwanja wa Giuseppe Meazza Jijini Milan. Penalti hiyo ilitokana na Davide Calabria kuunawa mpira wa tik tak wa Ronaldo na refa akatumia VAR kujiridhisha. Milan ilitangulia kwa bao la Ante Rebić dakika ya 61 akimalizia pasi ya Samu Castillejo na sasa timu hizo zitarudiana Machi 4 Uwanja wa Allianz, Torino PICHA ZAIDI GONGA HAPA
NBA: Minnesota and Brooklyn players call for justice for Duante Wright
-
Minnesota and Brooklyn players wear shirts calling for "liberty and justice
" after the fatal shooting of a black man by a police officer.
41 minutes ago
0 comments:
Post a Comment