Mshambuliaji wa Liverpool, Sadio Mane akimrukia Sime Vrsaljko wa Atletico Madrid usiku wa jana Uwanja wa Wanda Metropolitano Jijini Madrid kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya. Atletico Madrid ilishinda 1-0, bao pekee la Saul Niguez dakika ya nne na sasa timu hizo zitarudiana Machi 11 Uwanja wa Anfield PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Tottenham Hotspur 1-3 Man Utd: Edinson Cavani scores as visitors fight back
-
Manchester United come from behind to win at Tottenham with Edinson Cavani
scoring a superb diving header.
29 minutes ago
0 comments:
Post a Comment