Nahodha wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 33 na 46 kufuata Eddie Nketiah kufunga la kwanza dakika ya 27 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Everton, ambayo mabao yake yalifungwa na Dominic Calvert-Lewin dakika ya kwanza na Richarlison dakika ya 45 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Monday, February 24, 2020
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment