• HABARI MPYA

  Monday, January 02, 2017

  BAO LIPI TAMU ZAIDI HAPA; LA MKHITARYAN AU GIROUD? • Kushoto ni Henrikh Mkhitaryan akiifungia Manchester United kwa staili ye Mende (scorpion kick) katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Sunderland Desemba 26 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford, lakini siku sita baadaye jana Olivier Giroud (kulia) ameifungia Arsenal bao kama hilo ikiifunga 2-0 Crystal Palace Uwanja wa Emirates kwenye mchezo wa Ligi Kuu pia. Je, bao la nani lilikuwa zuri zaidi? PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BAO LIPI TAMU ZAIDI HAPA; LA MKHITARYAN AU GIROUD? Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top