![]() |
| Mshambuliaji wa Taifa Stars, John Bocco akipambana na beki wa Nigeria, Kenneth Omeruo |
![]() |
| Mshambuliaji wa Tanzania akijiandaa kupiga mpira mbele ya beki wa Super Eagles, Kenneth Emeruo |
![]() |
| Winga wa Tanzania, Simon Msuva akimtoka beki wa Super Eagles, Kenneth Emeruo |
![]() |
| Beki wa Tanzania, Mwinyi Hajji Mngwali akimtoka winga wa Nigeria, Ahmed Musa huku Nwankwo Obiora (kulia) akiwa tayari kutoa msaada |
![]() |
| Winga Farid Mussa wa Tanzania akimtoka beki wa Nigeria, Kingsley Madu |
![]() |
| Kiungo wa Tanzania, Mrisho Ngassa akitafuta maarifa ya kuwatoka wachezaji wa Nigeria |
![]() |
| Kipa wa Nigeria, Carl Ikeme Onora akidaka mpira wa juu jana |










.png)
0 comments:
Post a Comment