• HABARI MPYA

    Monday, July 06, 2015

    TYSON NA WLADIMIR KLITSCHKO ULINGONI OKTOBA 24 UJERUMANI

    BONDIA Tyson Fury anatarajiwa kupanda ulingoni Oktoba 24, mwaka huu kuzipiga na Wladimir Klitschko nchini Ujerumani katika pambano la ubingwa wa dunia uzito wa juu.
    Makubaliano ya pambano hilo yamefikiwa leo na wababe hao wanatarajiwa kwenda kuzichapa mjini Dusseldorf.
    Fury ametweet juu ya Klitschko leo: "Haijalishi pambano hili litafanyika wapi, Ukraine, Deutschland, Japan, itakuwa yale yale kumtwanga tu,".
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TYSON NA WLADIMIR KLITSCHKO ULINGONI OKTOBA 24 UJERUMANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top