![]() |
| Rais wa TFF, Jamal Malinzi (kushoto) |
Mwenyekiti wa Kamati hiyo ni Alhaj Ahmed Mgoyi na Katibu wa Kamati ni Mtendaji mkuu wa Bodi ya Ligi nchini (TPLB), Boniface Wambura na wajumbe wengine saba.
Wajumbe ni Kennedy Mwaisabula, Idd Mshangama, Amiri Mhando, Grace Hoka,
Baruan Muhuza na Peter Simon.
Kazi za kamati hiyo zitakua ni, kufuatilia mwenendo wa Ligi, Kuishauri Bodi/TFF namna ya kuboresha Ligi, Masoko, Leseni za Vilabu, Mipango ya Maendeleo ya Vilabu, Viwanja vya mazoezi, Utoaji wa tuzo za ligi mbalimbali, Kutengeneza vigezo vya washindi wa tuzo.



.png)
0 comments:
Post a Comment