![]() |
| Ally hakushereheka vizuri sikuu ya Eid El Fitri jana na dhahiri ungemuambia; "Eid Mubaeak", jibu lake lingekuwa "Minalfaidhina" |
![]() |
| Lilibaki chozi tu kudondoka kwenye macho ya Ally Yanga |
![]() |
| Mwili ulivyokuwa unamsisimka hadi masizi yake yakaanza kupuputika |
![]() |
| Yanga wote jana walikuwa 'Minalfaidhina", ukiwaona kimya ujue wamepogwa na Gor Mahia |







.png)
0 comments:
Post a Comment