• HABARI MPYA

    Friday, February 14, 2014

    NGASSA NA KIIZA WATUNISHIANA MISULI COMORO...NIYONZIMA ALIKUWA REFA

    Nani mkali; Washambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa kulia na Hamisi Kiiza kushoto wakitunishiana misuli kuonyeshana nani ana nguvu zaidi ya mwenzake nchini Comoro jana. Yanga ipo huko kwa ajili ya mchezo wa marudiano Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika, baada ya kushinda mabao 7-0 kwenye mchezo wa kwanza Dar es Salaam Jumamosi iliyopita.
    Katika ni Haruna Niyonzima
    Kutoka kulia David Luhende, Hamisi Kiiza, Haruna Niyonzima, Mrisho Ngassa na Frank Domayo
    Washkaji; Mrisho Ngassa na Hamisi Kiiza kushoto

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NGASSA NA KIIZA WATUNISHIANA MISULI COMORO...NIYONZIMA ALIKUWA REFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top