![]() |
| Mshambuliaji wa Simba SC, Amisi Tambwe akimtoka beki wa JKT Ruvu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. JKT Ruvu ilishinda 3-2. |
![]() |
| Beki wa Azam FC, Erasto Nyoni kulia akimtoka beki wa Prisons ya Mbeya kushoto jana |
![]() |
| Kiungo wa Azam FC kulia,Kipre Michael Balou kulia akiondoka na mpira dhidi ya kiungo wa Prisons,Omega Seme anayecheza kwa mkopo kutoka Yanga SC |
![]() |
| Mpira uko wapi? Wachezaji wa Azam John Bocco kushoto na Brian Umony kulia wakigombea mpira dhidi ya mchezaji wa Prisons jana |
![]() |
| Beki wa JKT Ruvu akimdondokea Amisi Tambwe wa Simba jana |
![]() |
| Wachezaji wa JKT Ruvu wakishangilia ushindi wao dhidi ya Simba jana |









.png)
0 comments:
Post a Comment