• HABARI MPYA

    Thursday, February 27, 2014

    DROGBA ALIVYOWAFANYA CHELSEA JANA...WE ACHA TU!

    Mshambuliaji wa Galatasaray, Didier Drogba kushoto akipambana na Nahodha wa Chelsea, John Terry katika mchezo wa kwanza 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu, timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Drogba alicheza pamoja na Terry Chelsea kwa muda mrefu
    We meet again: Terry slides in on striker Drogba in a Galatasaray attack
    Terry akiteleza kuondosha mpira miguuni mwa Drogba 
    Leaping up: Terry just manages to head the ball out of his former team-mate's reach
    Terry akigombea mpira wa juu na Drogba
    Acrobatic: Drogba attempts an overhead kick with sparring partner Terry watching on
    Drogba akijiandaa kubinuka tik tak mbele ya Terry
    Acrobatic: Drogba attempts an overhead kick with sparring partner Terry watching on

    Close control: Drogba shows off his upper body strength with Branislav Ivanovic and Gary Cahill closing down
    Drogba akimiliki mpira mbele ya Branislav Ivanovic na Gary Cahill
    Head-to-head: A frustrated Drogba meets former team-mate Ramires during the match
    Drogba akitaniana na Ramires wakati wa mechi
    The final bow: Drogba is substituted by Gala boss Roberto Mancini (right) as the game draws to a close
    Drogba alipumzishwa na kocha wa Gala, Roberto Mancini kulia mwishoni mwa mchezo
    Brothers in arms: Drogba and Branislav Ivanovic share a moment during the game
    Drogba na Branislav Ivanovic wakizungumza wakati mchezo ukiendeleaTussle: Chelsea defender Gary Cahill (left) tries to get the ball from his former team-mate
    Drogba akimkokota Gary Cahill
    Striking alliance: Drogba (centre) congratulates Fernando Torres after the match
    Drogba (katikati) akimpongeza mfungaji wa bao la Chelsea, Fernando Torres baada ya mechi
    Respect: Frank Lampard shows his respect to his former Blues mate as they leave the field
    Frank Lampard akimpa heshima yake Drogba baada ya mechi
    Signs are there: Galatasaray fans hold up a sign in tribute to their former Chelsea striker
    Mashabiki wa Galatasaray wakiwa wameshika bango la Drogba
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DROGBA ALIVYOWAFANYA CHELSEA JANA...WE ACHA TU! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top