KLABU ya Chelsea ilimsajili mkongwe, Samuel Eto'o msimu huu, ambaye sasa mambo yanamuendea vizuri katika timu hiyo na ameanza kufurahia tena maisha.
Baada ya kumkosa Wayne Rooney katika dirisha hilo la usajili, ikajiweka kwa mshambuliaji wa zamani wa Inter Milan na Barcelona kama chaguo la pili.
Na wakati Eto'o amewaongoza The Blues kufanya vizuri miezi ya karibuni - ikiwemo kufunga hat-trick dhidi ya Manchester United ya Rooney- sasa amejihakikishia maisha darajani.
Fasheni ya Kipolisi: Samuel Eto'o amepiga picha vazi hili na kuiweka katika akaunti yake ya Twitter kama picha ya wasifu wake
The black Zorro: Eto'o also pia ametweet picha hii akiwa na vazi la wapanda farasi
Eto'o ametweet picha akiwa amevaa koti refu, bila soksi na amepandisha suruali yake juu kidogo eneo la miguu lionekane na mkononi ameshika kofia.
Eto'o pia ameosti picha ikiambatana na ujumbe: "Baada ya Don Dieto'o de la Vega anayefahamika kama The black Zorro, twende kwa Renaissance: Samuel Eto'o mwenyewe? ahaha'

Kazini: Eto'o akimtoka mchezaji wa West Brom, Claudio Yacob katika sare ya 1-1 ya Blues na timu hiyo Uwanja wa Hawthorns
Kuruka kwa furaha: Eto'o akishangilia hat-trick yake dhidi ya Manchester United mbele ya mashabiki wa Chelsea



.png)
0 comments:
Post a Comment