• HABARI MPYA

    Friday, February 28, 2014

    AL AHLY WAKIJIFUA UWANJA WA TAIFA JIONI HII

    Wachezaji wa Al Ahly ya Misri wakifanya mazoezi jioni hii Uwanja wa Taifam Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa kwanza kuwania kutinga Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika kesho dhidi ya wenyeji Yanga SC kwenye Uwanja huo.



    Huyu anaitwa Amr Gamal, mpachika mabao tegemeo wa timu hiyo hivi sasa

    Aliyenyoosha mguu kushoto ni beki mkongwe Wael Gomaa


    Wael Gomaa kushoto

    Wamekuja na mashabiki hawa


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AL AHLY WAKIJIFUA UWANJA WA TAIFA JIONI HII Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top