• HABARI MPYA

    Tuesday, February 18, 2014

    CHA MDOMO JOSE MOURINHO AWAVAA BARCA, ASEMA CITY INAKUTANA NA TIMU 'MBOFU MBOFU'

    KOCHA Jose Mourinho amewabwatukia Barcelona kuwatia presha kuelekea mechi yao ya Ligi ya Mabingwa Ulaya leo dhidi ya Manchester City.
    Mwalimu huyo wa Chelsea, ambaye alishuhudia timu yake ikifungwa Uwanja wa Etihad katika Kombe la FA mwishoni mwa wiki, amesema Barca ya sasa ni mbovu mbovu ukilingalinganisha na miaka kadhaa iliyopita.
    Cha mdomo; Jose Mourinho amesema Man City inakutana na Barca 'mbofu mbofu'
    Leo ranger: Barcelona's Lionel Messi during a training session at the Etihad on Monday
    Hasira za Leo: Nyota wa Barcelona, Lionel Messi akiwa mazoezini Uwanja wa Etihad jana

    Wakati kikosi cha Gerardo Martino hakiachani mbali sana na Real na Atletico Madrid katika mbio za ubingwa wa La Liga, lakini wanaonekana bado wapo imara katika michuano ya Ulaya.
    Wametua Manchester jana asubuhi kwa ajili ya mchezo huo wa hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa. Licha ya kutemeshwa taji na mabingwa wa Ulaya wa sasa Bayern Munch msimu uliopita, bado wana nia ya kushinda tena mjini Lisbon. 
    On the ball: Messi and Barcelona team-mates try out the Etihad turf
    Messi na wachezaji wenzake wa Barcelona mazoezini Etihad
    Cover up: Messi attempts to stay warm during a training session in Manchester on Monday

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHA MDOMO JOSE MOURINHO AWAVAA BARCA, ASEMA CITY INAKUTANA NA TIMU 'MBOFU MBOFU' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top