• HABARI MPYA

    Monday, December 02, 2013

    JUMA K JUMA AANZA MAZOEZI RASMI LEO YANGA, USO KWA USO NA BARTHEZ KIJITONYAMA

    Kipa mpya wa Yanga SC, Juma Kaseja aliyesajiliwa kutoka kwa wapinzani, Simba SC, leo asubuhi ameanza mazoezi na timu yake hiyo Uwanja wa Bora, Kijitonyama, Dar es Salaam

    Wamekutana tena; Kaseja kulia akiwa na Ally Mustafa 'Barthez' waliyewahi kufanya naye kazi Simba SC


    Mpendane, msisikilize majungu; Kocha wa makipa,  Mkenya Razack Ssiwa katikati akzungumza na Barthez na Kaseja

    Wachezaji wa ndani wakijifua

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JUMA K JUMA AANZA MAZOEZI RASMI LEO YANGA, USO KWA USO NA BARTHEZ KIJITONYAMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top