• HABARI MPYA

    Wednesday, July 24, 2013

    SUAREZ ATOKEA BENCHI NA KUTOA PASI YA BAO LIVERPOOL IKIUA 2-0, APATA MAPOKEZI YA KIFALME

    IMEWEKWA JULAI 24, 2013 SAA 3:40 USIKU
    KOCHA Brendan Rodgers anaamini mapokezi mazuri aliyoyapata Luis Suarez akirejea kazini leo yanaweza kumfanya abaki Liverpool.
    Mshambuliaji huyo wa Uruguay, ambaye anatakiwa sana na Arsenal, alipata mapokezi mazuri mbele ya umati wa watu 95,446 wakati alipoingia uwanjani akitokea benchi dakika ya 72 na kuiwezesha Liverpool kushinda 2-0 dhidi ya Melbourne Victory Uwanja wa MCG. 
    Alone: Suarez walks down the tunnel after Liverpool's 2-0 win over Melbourne
    Peke yake: Suarez akitembea chini ya jukwaa leo baada ya Liverpool kuilaza 2-0 Melbourne
    Back in the fold: Suarez made his first appearance in a Liverpool shirt since April 21
    Amerudi kazini: Suarez amecheza mechi ya kwanza leo Liverpool tangu Aprili 21
    Benched: Suarez started the game as a sub, but came on with 70 minutes gone
    Mkeka: Suarez alianzia benchi kabla ya kuingia dakika ya 70 
    Suarez alitengeneza bao la pili la Liverpool akimpelekea krosi Iago Aspas. Steven Gerrard alifunga bao la kwanza akifanya kazi na kumalizia yeye mwenyewe.
    Arsenal imeipa Liverpool jana ofa ya Pauni 40,000,001 kujaribu kumsajili Suarez, lakini Rodgers ameendeela kusistiza juu ya kutotaka kumuuza mchezaji huyo. 
    Suarez
    Suarez akionyesha ufundi
    Into his stride: Suarez was slow to start, but impressed in the last five minutes of the game
    Suarez alianza pole pole mchezo wa leo, lakini akachanganya dakika tano za mwisho
    Popular: Suarez is still loved by Liverpool fans, and was given a huge reception after the game
    Suarez bado anapendwa na mashabiki wa Liverpool
    Still hanging around: Suarez signs an autograph after the match at the Melbourne Cricket Ground
    Suarez akisaini autograph katika Uwanja wa Kriketi wa Melbourne 
    All smiles: Suarez stayed behind to greet the Liverpool fans Down Under
    Dole: Suarez akiwapa salamu ya aina yake mashabiki wa LiverpoolSuarez
    Anamtoka mtu
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: SUAREZ ATOKEA BENCHI NA KUTOA PASI YA BAO LIVERPOOL IKIUA 2-0, APATA MAPOKEZI YA KIFALME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top