• HABARI MPYA

  Saturday, July 20, 2013

  KOCHA BRANDTS AWAFANYIA UKACHERO URA TAIFA LEO KABLA YA YANGA KUCHEZA NAO KESHO

  IMEWEKWA JULAI 20, 2013 SAA 2:59 USIKU
  CHABO; Kocha wa Yanga SC, Mholanzi Ernie Brandts (kushoto) akifuatilia mchezo wa kirafiki kati ya Simba SC na URA ya Uganda jioni ya leo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. URA ilishinda 2-1 na Brandts atateremsha kikosi chake kesho kumenyana na Watoza Ushuru hao wa Kampala katika mchezo mwingine wa kirafiki. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: KOCHA BRANDTS AWAFANYIA UKACHERO URA TAIFA LEO KABLA YA YANGA KUCHEZA NAO KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top