• HABARI MPYA

    Wednesday, April 01, 2026
    AZAM FC YANG'ARA UGENINI, YAILAZA SINGIDA BLACK STARS 2-1

    AZAM FC YANG'ARA UGENINI, YAILAZA SINGIDA BLACK STARS 2-1

    TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ...
    DRC YAFUZU KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUICHAPA JAMAICA 1-0

    DRC YAFUZU KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUICHAPA JAMAICA 1-0

    TIMU ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imefuzu Fainali za Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza baada ya miaka kufuatia ushindi wa 1-0 d...
    Sunday, March 29, 2026
    TANZANIA YAIBAMIZA MACAU 6-0 MICHUANO YA FIFA YA FIFA SERIES RWANDA

    TANZANIA YAIBAMIZA MACAU 6-0 MICHUANO YA FIFA YA FIFA SERIES RWANDA

    TIMU ya Tanzania imeibuka na ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Macau katika mchezo wa Kundi B kuwania nafasi tatu michuano ya FIFA Series jioni ...
    Thursday, March 26, 2026
    TAIFA STARS YACHAPWA 1-0 NA LIECHTENSTEIN MICHUANO YA FIFA SERIES KIGALI

    TAIFA STARS YACHAPWA 1-0 NA LIECHTENSTEIN MICHUANO YA FIFA SERIES KIGALI

    TANZANIA imefungwa bao 1-0 na Liechtenstein katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kundi B michuano ya FIFA Series jioni ya leo Uwanja wa Pele Jij...
    Monday, March 23, 2026
    Sunday, March 22, 2026
    SIMBA SC YANG'ARA LIGI KUU, YAICHAPA TRA UNITED 3-0 MBWENI

    SIMBA SC YANG'ARA LIGI KUU, YAICHAPA TRA UNITED 3-0 MBWENI

    TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya TRA United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Mej...
    AL MASRY NAYO YATOLEWA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

    AL MASRY NAYO YATOLEWA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

    WENYEJI, CR Belouizdad wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika licha ya sare ya bila mabao na Al Masry usiku wa Jumam...
    ESPERANCE WAITUPA NJE AL AHLY LIGI YA MABINGWA AFRIKA

    ESPERANCE WAITUPA NJE AL AHLY LIGI YA MABINGWA AFRIKA

    TIMU ya Espérance ya Tunisia imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya wenyeji, Al A...
    PYRAMIDS YAVULIWA UBINGWA WA AFRIKA

    PYRAMIDS YAVULIWA UBINGWA WA AFRIKA

    TIMU ya Pyramids FC imevuliwa ubingwa wa Afrika baada ya kuchapwa mabao 2-1 na AS FAR Rabat ya Morocco katika mchezo wa marudiano wa Robo Fa...
    Saturday, March 21, 2026
    YANGA SC YATOA SARE NYINGINE, 1-1 NA MTIBWA DODOMA

    YANGA SC YATOA SARE NYINGINE, 1-1 NA MTIBWA DODOMA

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya...
    Thursday, March 19, 2026
    SIMBA SC YATOA SARE NA PAMBA JIJI 1-1 CCM KIRUMBA

    SIMBA SC YATOA SARE NA PAMBA JIJI 1-1 CCM KIRUMBA

    TIMU ya Simba SC imetoa sare ya kufungana bao 1-1 na wenyeji, Pamba Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwan...
    AZAM FC YAAMBULIA SULUHU KWA MASHUJAA, 0-0 KIGOMA

    AZAM FC YAAMBULIA SULUHU KWA MASHUJAA, 0-0 KIGOMA

    TIMU ya Azam FC imetoa sare ya 0-0 na wenyeji Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Lake Tangany...
    Wednesday, March 18, 2026
    SINGIDA BLACK STARS YAILAMBA TANZANIA PRISONS 2-1 JAMHURI

    SINGIDA BLACK STARS YAILAMBA TANZANIA PRISONS 2-1 JAMHURI

    TIMU ya Singida Black Stars imeichapa Tanzania Prisons mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Jamhuri ...
    YANGA SC YAAMBULIA SULUHU NYINGINE KWA TRA UNITED ARUSHA

    YANGA SC YAAMBULIA SULUHU NYINGINE KWA TRA UNITED ARUSHA

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wametoa sare ya bila kufungana na wenyeji, TRA United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania jioni ya leo Uwa...
    SENEGAL WAVULIWA UBINGWA WA AFCON, MOROCCO WAPEWA USHNDI WA 3-0

    SENEGAL WAVULIWA UBINGWA WA AFCON, MOROCCO WAPEWA USHNDI WA 3-0

    BODI ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) imeivua Senegal ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) na kuwapa wenyeji, Morocco. S...
    Tuesday, March 17, 2026
    Sunday, March 15, 2026
    YANGA SC YAAMBULIA SULUHU KWA AZAM FC, 0-0 BENJAMIN MKAPA

    YANGA SC YAAMBULIA SULUHU KWA AZAM FC, 0-0 BENJAMIN MKAPA

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wamelazimishwa sare ya bila mabao na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa ...
    SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA MBEYA CITY 4-1 BABATI

    SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA MBEYA CITY 4-1 BABATI

    TIMU ya Singida Black Stars imeibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni hii Uw...
    Friday, March 13, 2026
    FOUNTAIN GATE YACHOMOA DAKIKA YA MWISHO, SARE 1-1 NA MASHUJAA KIGOMA

    FOUNTAIN GATE YACHOMOA DAKIKA YA MWISHO, SARE 1-1 NA MASHUJAA KIGOMA

    TIMU ya Mashujaa FC imelazimishwa sare ya kudungana bao 1-1 na Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni hii Uwanja...
    Thursday, March 12, 2026
    DEPU ATOKEA BENCHI KUIFUNGIA YANGA BAO MUHIMU LA USHINDI

    DEPU ATOKEA BENCHI KUIFUNGIA YANGA BAO MUHIMU LA USHINDI

    BAO la dakika ya 78 la mshambuliaji Muangola, Laurindo Dilson Maria Aurelio ‘Depu’ limewasaidia mabingwa watetezi, Yanga SC kushinda 1-0 dhi...
    Wednesday, March 11, 2026
    ZIDANE APIGA MBILI AZAM YAILAZA DODOMA JIJI 3-0 JAMHURI

    ZIDANE APIGA MBILI AZAM YAILAZA DODOMA JIJI 3-0 JAMHURI

    TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji, Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu U...
    MPANZU ATOKEA BENCHI SINGIDA NA KUIPA USHINDI SIMBA SC

    MPANZU ATOKEA BENCHI SINGIDA NA KUIPA USHINDI SIMBA SC

    TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Ali ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo U...
    TRA UNITED YAICHAPA  NAMUNGO FC 2-0 KARATU

    TRA UNITED YAICHAPA NAMUNGO FC 2-0 KARATU

    TIMU ya TRA United imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara mchana wa leo Uwanja ...
    Sunday, March 08, 2026
    DEPU APIGA HAT TRICK YANGA YAITANDIKA POLISI TZ 7-1 MWENGE

    DEPU APIGA HAT TRICK YANGA YAITANDIKA POLISI TZ 7-1 MWENGE

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wamefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benk...
    Saturday, March 07, 2026
    CHAMA NA LOEMBA WAFUNGA SIMBA SC YASONGA MBELE KOMBE LA CRDB

    CHAMA NA LOEMBA WAFUNGA SIMBA SC YASONGA MBELE KOMBE LA CRDB

    VIGOGO, Simba SC wamejikatia tiketi ya Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB...
    Friday, March 06, 2026
    JKT TANZANIA YATINGA 16 BORA KOMBE LA CRDB

    JKT TANZANIA YATINGA 16 BORA KOMBE LA CRDB

    TIMU ya JKT Tanzania imefanikiwa kutinga Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CR...
    Thursday, March 05, 2026
    YANGA SC YAIBAMIZA SINGIDA BLACK STARS 3-0 SINGIDA

    YANGA SC YAIBAMIZA SINGIDA BLACK STARS 3-0 SINGIDA

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji, Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzani...
    AZAM FC YAAMBULIA SULUHU KWA TANZANIA PRISONS 0-0 SOKOINE

    AZAM FC YAAMBULIA SULUHU KWA TANZANIA PRISONS 0-0 SOKOINE

    TIMU ya Azam FC imetoa sare ya bila kufungana na wenyeji, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanj...
    Wednesday, March 04, 2026
    ULINZI NA USALAMA MICHEZONI NI MIONGONI MWA VIPAUMBELE VYA MAANDALIZI YA  AFCON 2027

    ULINZI NA USALAMA MICHEZONI NI MIONGONI MWA VIPAUMBELE VYA MAANDALIZI YA AFCON 2027

    KATIKA kuendelea na  maandalizi ya mashindano ya AFCON 2027,  Kamati ya Kitaifa ya mashindano hayo, imeanza kuweka mikakati madhubuti ya  ul...
    Tuesday, March 03, 2026
    FOUNTAIN GATE YAICHAPA MBEYA CITY 1-0 PALE PALE SOKOINE

    FOUNTAIN GATE YAICHAPA MBEYA CITY 1-0 PALE PALE SOKOINE

    TIMU ya Fountain Gate imepata ushindi wa ugenini wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji, Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jion...
    Monday, March 02, 2026
    PAMBA NA AZAM FC NGOMA DROO MWANZA, ZAFUNGANA 2-2 CCM KIRUMBA

    PAMBA NA AZAM FC NGOMA DROO MWANZA, ZAFUNGANA 2-2 CCM KIRUMBA

    TIMU ya Azam FC imelazimisha sare ya kufungana mabao 2-2 na wenyeji, Pamba Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya l...
    SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA COASTAL UNION 1-0 BAO LA GUEDE

    SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA COASTAL UNION 1-0 BAO LA GUEDE

    WENYEJI, Singida Black Stars wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya ...
    Sunday, March 01, 2026
    YANGA NA SIMBA HAKUNA MBABE, ZATOKA SULUHU ZANZIBAR

    YANGA NA SIMBA HAKUNA MBABE, ZATOKA SULUHU ZANZIBAR

    WATANI wa Jadi, Simba na Yanga wametoshana nguvu kwa sare ya bila mabao katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya watani, Simb...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    HABARI ZA ASIA

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top