• HABARI MPYA

    Thursday, February 13, 2014

    NI BARCA NA REAL FAINALI KOMBE LA MFALME

    MSHAMBULIAJI Lionel Messi ameweka rekodi nyingine ya mabao wakati Barcelona ikitinga fainali ya Kombe la Hispania kuelekea mechi na Manchester City wiki ijayo Ligi ya Mabingwa Ulaya.
    Messi alifunga usiku huu katika sare ya 1-1 na Real Sociedad na kufikisha mabao 335 hivyo kuwa mchezaji aliyefunga mabao mengi zaidi katika klabu hiyo ya Hispania.
    Barca imeingia fainali kwa ushindi wa jumla wa mabao 3-1 baada ya awali kushinda 2-0 na sasa itakutana na Real Madrid katika mechi ya kuwania Kombe.
    Lead: Lionel Messi gave Barcelona a 1-0 lead against Real Sociedad in the Copa del Rey semi-final
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NI BARCA NA REAL FAINALI KOMBE LA MFALME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top