• HABARI MPYA

    Thursday, February 13, 2014

    LIVERPOOL RAHA KWA KWENDA MBELE, FULHAM AKALISHWA ANFIELD

    LIVERPOOL imepanda hadi nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya England baada ya kuifunga mabao 3-2 Fulham usiku huu.
    Kolo Toure alijifunga dakika ya nane kuipatia Fulham bao la kwanza na Richardson akaifungia timu hiyo bao la pili dakika ya 63.
    Mabao ya Liverpool yalifungwa na Daniel Sturridge dakika ya 41, Coutinho dakika ya 40 na mkongwe Steven Gerrard dakika ya 90 kwa penalti.
    Liverpool sasa imetimiza pointi 53 baada ya kucheza mechi 26 na inabaki nafasi ya nne.
    Clincher: Liverpool's Steven Gerrard scores a penalty past Fulham goalkeeper David Stockdale
    La ushindi: Kiungo wa Liverpool, Steven Gerrard akiifungia timu yake kwa penalti bao la ushindi dhidi ya Fulham na juu akishangilia baada ya kufunga
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL RAHA KWA KWENDA MBELE, FULHAM AKALISHWA ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top