• HABARI MPYA

    Saturday, February 15, 2014

    BALOTELLI AITAKATISHA AC MILAN, YAANZA KUJIVUTA SERIE A

    BAO la dakika za lala salama la Mario Balotelli limeipa AC Milan ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Bologna katika mchezo wa Serie A usikuwa jana.
    Balotelli alifunga bao lake hilo la 10 msimu huu kwa shuti la umbali wa mita 30 dakika nne kabla ya filimbi ya mwisho na kuipandisha Milan hadi nafasi ya 10 ikifikisha pointi 32 sawa na Lazio iliyo nafasi ya tisa.
    Lakini Balotelli alishangilia kigumu bao hilo bila ya kucheka wala kutabasamu, akikikumbatiana tu na wachezaji wenzake.
    Mkombozi: Balotelli akifunga bao muhimu janaThe man: Balotelli is surrounded by his team-mates after scoring the winner over Bologna
    Balotelli akipongezwa na wenzake baada ya kufunga bao hilo
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BALOTELLI AITAKATISHA AC MILAN, YAANZA KUJIVUTA SERIE A Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top