![]() |
| Godzilla |
KATIKA kutekeleza ahadi yake ya kutoa ngoma mpya kila wiki,
B-Hitz imekuja na mzigo unaitwa Unknown kutoka kundi la TOKA BHITS linaloundewa
na wakali kama Godzila, Deddy na Gosby.
Marapa hao watatu, kila mmoja na staili yake wamefanya
majambozi yaliyokwenda skonga babake.
Ngoma hiyo imeandikwa na wanaume hao watatu, yaani Deddy, Godzilla
na Gosby na kazi ya kuipikam imefanywa na Pancho Latino wakatim masuala ya Instruments,
Mixing na Mastering yamefanywa naHermy B katika studio za B’Hits (Studio 4),
Dar es Salaam.



.png)
0 comments:
Post a Comment