Mshambuliaji wa Monaco, Thomas Lemar anayetakiwa na Arsenal akishangilia baada ya kuifungia timu yake ya taifa, Ufaransa mabao mawili dakika za 73 na 88 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Uholanzi usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi A kufuzu Kombe la Dunia. Mabao mengine ya Ufaransa yalifungwa na Antoine Griezmann dakika ya 14 na Kylian Mbappe dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
UNESCO yafunga mafuzo ya Mafundi Mitambo wa Radio za jamii 25
-
*Kaimu Mkuu wa Ofisi za Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia
Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Faith Shayo akizungumza kuhusu
UNESCO i...
4 hours ago
0 comments:
Post a Comment