Wayne Rooney akishangilia baada ya kuifungia Everton bao la kusawazisha dakika ya 21 kufuatia Adrian Sardinero kuwafungia Apollon Limassol bao la kuongoza dakika ya 12 katika sare ya 2-2 kwenye mchezo wa Kundi E Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Goodison Park. Nikola Vlasic aliifungia bao la pili Everton dakika ya 66, kabla ya Hector Yuste kuwasawazishia Apollon Limassol dakika ya 88 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ole Gunnar Solskjaer is a worthy example of a club legend turned manager
-
DANNY MURPHY: Eyebrows were raised when Ole Gunnar Solskjaer turned up at
Old Trafford a year ago but he has turned into something of a trailblazer.
22 minutes ago
0 comments:
Post a Comment