Raheem Sterling akinyoosha vidole juu baada ya kuifungia Manchester City mabao mawili dakika za 51 na 59 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Leroy Sane dakika ya 44, Sergio Aguero dakika ya 79 na Fabian Delph dakika ya 89 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Chelsea host Man Utd in Women's FA Cup - see full fifth-round draw
-
Holders Chelsea will take on Manchester United in the fifth round of the
Women's FA Cup - a repeat of last year's final.
59 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment